Taifa Stars kambini
06/02/2009

Wachezaji wa Taifa Stars na kocha wao wakihamisha goli
wakati walipokuwa mazoezini uwanja wa Karume, Ilala, Dar es Salaam,
wakijitayarisha na michuano ya Afrika.
Wachezaji hao wanatarajiwa kufunga kambi ya siku mbili
mjini Zanzibar katika uwanja wa Mao na kocha wao Maximo.
|