JK ahudhuria siku ya
sheria nchini
07/02/2009

JK akiwasili mahakama kuu kuhudhuria sherehe za siku ya
sheria mjini Dar es Salaam. Shoto kwake ni Jaji Mkuu Mh. Augustine
Ramadhan na kulia kwake ni mwenyekiti wa chama cha wanasheria Dk. Twalib
akifuatiwa na Spika Mh. Samwel Sitta.

JK akipozi na majaji wa mahakama kuu (waliosimama nyuma)
akiwa na Jaji mkuu Mh Augustino Ramadhan, Spika Samwel Sitta, Waziri wa
Sheria Mh. Mathias Chikawe na Majaji wa Mahakama ya Rufaa.
|