Matayarisho ya ufunguzi
rasmi uwanja wa taifa
09/02/2009

Pichani ni kikundi cha martial arts
kikifanya mazoezi ya nguvu kwa ajili ya siku hiyo ya makabidhiano rasmi
ya uwanja Mpya wa Taifa Jijini Dar es Salaam ambao umejengwa kwa mpango
maalum na nchi ya China.

Kideo cha uwanja wa taifa kinatoa habari
rasmi za tafrija zinazofanyika.
|