JK awapa tafu Taifa Stars
10/02/2009

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Kocha
Mkuu wa Taifa Stars Marcio Maximo, Naibu Waziri wa Michezo na Utamaduni
Mheshimiwa Joel Bendera baada ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa
ajili ya kuwapongeza wachezaji wa Taifa Stars Ikulu jijini Dar es
Salaam.

Rais Jakaya Kikwete (Kushoto) akisalimiana
na Mrisho Ngassa baada ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili
ya kuwapongeza wachezaji wa Taifa Stars Ikulu jijini Dar es Salaam.

JK akiwa na wachezaji
wa Taifa Stars katika picha ya pamoja baada ya chakula cha mchana, ikulu,
Dar es Salaam.
|