Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Kikwete akutana na kiongozi wa Mabohora duniani

14/02/2009

JK akiwa katika mazungumzo na kiongozi wa Mabohora duniani Dr. Syedna Mohamed Burhanuddin wakati alipokwenda kumsabahi kiongozi huyo katika msikiti wa mabohora uliopo Upanga jijini Dar es Salaam.

JK akiwa na kiongozi wa Mabohora duniani Dr. Syedna Mohammed Burhanuddin baada ya kiongozi huyo wa Mabohora kumvika mgolole maalum wakati JK alipokwenda kumtembelea katika msikiti wa Mabohora ulioko Upanga jijini Dar es Salaam.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©