Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Rais Jintao ahitimisha ziara yake ya Tanzania

17/02/2009

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mwenyekiti wa Chama cha CUF Profesa Ibrahim Lipumba kwa Rais wa China Hu Jintao wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais huyo wa China Ikulu jijini Dar es Salaam.

JK akimtabulisha mwanaye Khalfan Kikwete (8) kwa Rais Hu Jintao wa China muda mfupi kabla ya Rais huyo kutoa mhadhara katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Baadaye Rais huyo aliondoka nchini baada ya ziara yake ya kikazi ya siku tatu.

Ndege iliyombeba Rais Hu Jintao wa China na ujumbe wake ikiruka katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere baada ya Rais huyo kumaliza ziara yake ya kikazi ya siku tatu nchini Tanzania.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©