Taifa Stars kukabiliana na
Senegal
20/02/2009

Kocha wa Taifa Stars, Marcio Maximo akiwa na meneja na
mchezaji wa zamani wa taifa stars Leonard Tasso Mukebezi (shoto) na
kocha msaidizi ambaye pia alikuwa kipa namba moja wa taifa stars Ali
Bushiri siku moja kabla ya kuelekea Ivory Coast kupambana na Senegal.
|