Mkataba wa hifadhi
endelevu ya mazingira
21/02/2009

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dk.
Batilda Salha Burian na Dk. Byung - Wook Lee, Makamu Waziri wa Mazingira,
Korea ya Kusini, wakitia saini mkataba wa makubaliano baina ya Tanzania
na Korea ya kusini katika nyanza za Hifadhi endelevu ya Mazingira jijini
Dar es Salaam.
|