MALINDI FC ya Zanzibar
1973
22/02/2009

Je, unawakumbuka hawa?
Waliosimama toka shoto ni Mansab Abubakar, Farook, Ali
Nasser, Ali Fereij, Ali Seif, Maalim Rajab (Kocha wa Makipa).
Waliochuchumaa kutoka kushoto: Mohamed Issa, Omar Magram (Mdogo wa
marehemu Mansour Magram), Hamza Zuberi, Abdulamir Abasi, Seif Tornadoe,
Ahmed Baba, Abdallah Mwanya.
|