Waheshimiwa wampa hongera
Kardinali Pengo
23/02/2009

Marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa pamoia
na Rais Jakaya Kikwete wakiwa wamejumuika pamoja katika sherehe za
kumpongeza Polycarp Kadinali Pengo kwa kutimiza miaka 25 ya Uaskofu
zilizofanyika katika viwanja vya Msimbazi Centre, jijini Dar es Salaam.

Kardinali Polycarp Pengo, Askofu Mkuu jimbo katoliki Dar
es Salaam, akimlaki JK kwenye viwanja vya Msimbazi Centre katika sherehe
za maadhimisho ya miaka 25 ya Uaskofu wake.
|