Taifa Stars yaichapa Ivory
Coast 1-0
26/02/2009

Mrisho Ngassa (kushoto)
akijaribu kumtoka mchezaji wa Ivory Coast katika mechi ya timu hizo
mbili jijini Abidjan. Mrisho ndiye aliyeifunga timu ya Ivory Coast bao
1.

Mashabiki wakishangilia Taifa Stars mara tu baada ya
kipyenga cha mwisho kulia huko Abidjan katika uwanja wa Felix Houphet
Boigny.
|