Picha rasmi ya Michelle
Obama yazinduliwa
01/03/2009

Picha rasmi ya mke wa rais wa 44 wa Marekani, Michelle Obama
imechukuliwa katika chumba cha 'Blue Room' na mpiga picha rasmi wa White
House, Joyce N. Boghosian.

Picha rasmi ya rais wa 44 wa Marekani, Barack Obama imechukuliwa kwa
kamera ya Digital na mpiga picha rasmi wa White House, Pete Souza mapema
mwaka huu baada ya kuteuliwa kuwa rais wa Marekani.
|