Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

ZANTEL yafungua tawi Dar es Salaam

02/03/2009

Shirika la simu za mikono ZANTEL imefungua duka la kisasa jijini Dar es Salaam katika kuhakikisha upatikanaji wa huduma za shirika hilo ni wepesi. Duka hilo (pichani) liko katika jengo la Hadi Apartments, lililopo katikati ya Jiji katika makutano ya Mtaa wa Morogoro na Libya eneo la Kisutu. Mstahiki Meya wa Jiji la Dar Es Salaam Alhaji Adam Kimbisa alikuwa mgeni rasmi siku ya ufunguzi wa duka hilo.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©