Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Msiba wa ndugu yetu ILYAS IBRAHIM

04/03/2009

Ndugu yetu Ilyas Ibrahim ametutoka dunia.
Kwasababu maalum, ukurasa huu umechapishwa baada ya maziko ya marehemu Ilyas Ibrahim ya siku ya Jumamosi, tarehe 14/03/2009.
Swala ya maiti baada ya swala ya adhuhuri:
Msikiti wa White Chapel,
Fieldgate Street,
E1 1JU.

Maziko:
Hainault (Gardens of Peace),
Elmbridge Road,
IG6 3SW,
_____________

Kwa niaba ya wote waliosimamia msiba wa ndugu yetu Ilyas Ibrahim, wangependa kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kila kitu na kuwashukuru wote waliochangia katika msiba huu kwa njia moja au nyingine.

Tungependa kuwajulisha kuwa mchango uliopatikana umetumika kwenye matayarisho ya maziko na mpaka mwisho wake, na mapeni yaliyobaki yatatumika kwa njia ya kumjengea Swadaqatul Jaariya marehemu nyumbani Tanzania, na wote waliojitolea inshallah wana malipo yao kwa Allah (S.W).

Kwa niaba ya wasimamizi wa msiba.

Zenjydar Community Association

- Inna lillahi wa inna ilayhi raaji'uun -

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©