Maharusi wanameremeta
06/03/2009

Maharusi vijana Mrisho Saleh Senga na mkewe Salha
Suleiman wakitabasamu kwa bashasha baada ya kumeremeta katika siku yao
kuu ya kuwa pamoja. Siku hii ni siku maalum ya sherehe yao ya ndugu
jamaa na marafiki katika ukumbi wa Karimjee Hall na siku ifuatayo ni
siku maalum ya mahanjumati katika ukumbi wa Golden Tulip, jijini Dar es
Salaam.
|