Matatizo ya UMEME na LUKU
07/03/2009

KWA MUJIBU WA MSEMAJI WA TANESCO, BADRA MASOUD, NI KWAMBA
MASHINE ZA LUKU ZITAKUWA ZINAFANYA KAZI KWA MUDA WOTE ISIPOKUWA KUANZIA
SAA NNE USIKU AMBAPO ZITAZIMWA ILI KUFANYIWA MATENGENEZO YA KAWAIDA.

BI BADRA KASEMA SI KWELI KWAMBA LUKU ITAKUWA HAMNA KWA
MUDA WA SIKU NYINGI KAMA AMBAVYO REDIO ZINAVYOSEMA, NA KWAMBA HATA HILI
ZOEZI LA KUKARABATI MIUNDOMBINU YA LUKU JIJINI DAR ES SALAAM ITAKAMILIKA
BAADA YA SIKU NNE NA BAADA YA HAPO HUDUMA ZA LUKU ZITAENDELEA KAMA
KAWAIDA NA BILA YA MATATIZO.

WATU WAKIWA WAKISUBIRI HUDUMA ZA LUKU
KATIKA KITUO CHA BP EXPRESS.
|