Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

TANESCO na uamuzi wa mitambo ya DOWANS

08/03/2009

Mkurugenzi mtendaji wa TANESCO, Dk. Idris Rashid akiwasili kuongea na vyombo vya habari jana makao makuu ya shirika hilo huko Ubungo, Dar es Salaa, ambapo Dk. Rashid alitangaza uamuzi wa kujitoa kwa shirika hilo katika nia ya kununua mitambo ya kufua umeme ya Dowans.

Uamuzi huo umefikiwa baada ya kutolewa taarifa alizodai kuwa ni za uongo na zilizojaa utashi wa kisiasa zaidi dhidi ya utaalamu wa TANESCO na kwamba zimechangia kuvunja nguvu ya mamia ya wafanyakazi wa shirika hilo wanaofanya kazi usiku na mchana kuhakikisha nchi inapata umeme wa uhakika.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©