Mzee OMAR SULEIMAN (Muasisi
wa TANU) atembelewa
09/03/2009

JK akiongea na muasisi wa Chama Cha TANU Mzee Omar
Suleiman, mwenye umri wa miaka 104 alipokwenda kumjulia hali nyumbani
kwake mjini Dodoma. Rais Kikwete alikuwa mjini Dodoma katika ziara yake
ya kikazi.

Kikwete akiwa amembeba mtoto Ramadhan Juma (5) ambaye ni
kitukuu cha Muasisi wa Chama Cha TANU, Mzee Omar Suleiman wakati Rais
alipokwenda kumjulia hali muasisi huyo nyumbani kwake mjini Dodoma
|