Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Filamu ya "The Book of Eli"

10/03/2009

Kama kawaida yake, Denzel Washington (pichani) akionekana yupo tayari kihisia kujitayarisha na kamera katika mchezo wa filamu yake mpya "The Book of Eli".

Denzel Washington akijulikana kama "Eli" katika filamu hiyo, akiwa kama ni mtu ambaye anapigania kulinda kitabu kitakatifu ambacho kina siri za kuwaokoa Wanaadamu.

Sehemu kubwa ya filamu hiyo imechukuliwa katika mji wa New Mexico, Marekani. Filamu ya "The Book of Eli" inatarajiwa kuonyeshwa kwenye majumba ya sinema Januari 15, 2010.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©