Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Wavuvi wa kinyume na sheria

12/03/2009

Wavuvi wa kinyume na sheria ambao wapatao 38 wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma ya uvuvi wa kinyume na sheria katika bahari ya hindi ya Tanzania.

Wavuvi hao ambao walikuwa na chombo cha meli inayoitwa Tawariq I ilikamatwa katika operesheni maalum iliyoshirikisha mabaharia kutoka Tanzania, Afrika Kusini, Msumbiji na Kenya. Meli hiyo ilikamatwa katika siku ya pili ya operesheni maalum iliyoanzishwa na Tanzania kukomesha wizi wa samaki katika eneo lake la Bahari ya Hindi.


Tanzania, Kenya na Msumbiji zimetoa mabaharia wawili-wawili na Afrika Kusini imetoa mabahari watano. Rais Kikwete alitoa shukrani alipokutana na mabaharia waliofanikisha kukamatwa kwa meli hiyo kubwa.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©