Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Gordon Brown awahongera waliopanda mlima Kilimanjaro

13/03/2009

Baada ya wasanii kufunga safari maalum ya kuupanda mlima wa Kilimanjaro, Tanzania, walikaribishwa na Waziri Mkuu Gordon Brown nyumbani kwake Downing Street, No. 10 kwa kuwapa hongera ya kwenda na kurudi salama na kutimiza malengo yao ya kusaidia kupiga vita ugonjwa wa Malaria nchini Tanzania ambao unaua wengi kila mwaka.

Mmoja wa wasanii hao Gary Barolow, alisifu huduma walizopewa walipofika Tanzania na aliongeza kusifia kwa kusema ni watu karimu sana. Wasanii hao wanategemea hatua waliochukua ya kupanda mlima wa kilimanjaro, utasaidia kupiga vita Malaria kwa kuwapatia watu vyandarua na madawa.

Kwa habari zilizopita za tukio hili, rejea habari ya Zenjydar kwa kubonyeza hapa.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©