Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

KIKWETE akutana na BROWN kabla ya G20

17/03/2009

JK akikaribishwa na waziri mkuu wa uingereza Bw. Gordon Brown Lancaster House, kujadili kuyumba huko kwa uchumi duniani na jinsi kunavyoliathiri bara la Afrika.

JK akiongea wakati wa mkutano na waandishi wa habari baada ya mkutano wa Pre G20 London Summit katika jumba la  Lancaster House jijini London. Wengine toka shoto ni rais wa African Development Bank Dr. Donald Kaberuka, Waziri Mkuu wa kenya, Mh. Raila Odinga, Rais wa Liberia Mh. Sirleaf Johnson, waziri Mkuu wa Ethiopia Mh. Meles Zenawi na Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini,  Mh. Trevor Manuel.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©