Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Maendeleo ya jiji

18/03/2009

Maendeleo ya jiji la Dar es Salaam yanazidi kuonekana wakati serikali ikipigia kifua kukuza miundo mbinu ya jiji ikiwa kama njia moja wapo ya kwenda sambamba na kukua kwa uchumi.

Mamlaka husika ikionekana (pichani) wakiwa katika kuweka mataa ya barabarani katika Mtaa wa Shauri Moyo, Ilala, Dar es Salaam. Taa za barabarani pia husaidia usalama wa raia.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©