Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

"Give and Take for Plaistow's Sake"

21/03/2009

Mwenyekiti wa Zenjydar Community Association bwana Saleh Jaber (wa pili kushoto) akiwa na Madiwani wa bara la Newham katika hafla iliyoandaliwa na diwani wa kata ya Plaistow, Newham, bwana Zulfiqar Ali (wa nne kutoka kulia).

Hafla hiyo ilikuwa katika kushajiisha wakazi wa kata ya Plaistow kwenye mambo ya utumiaji mzuri wa umeme na vyombo vitumiavyo nguvu za jua, usafi wa mitaa, matumizi mazuri ya mazingira ikiwemo kugawana vitu visivyotumiwa kumgawia jirani anayekihitaji na ukuzaji wa vyakula bora.

Bwana Saleh Jaber ni mmoja wapo wa wachangiaji wakubwa wa matayarisho wa hafla hiyo na ni yeye ndiye aliyeipa jina la hafla hiyo "Give and Take for Plaistow's Sake".

Kwa habari kamili bonyeza hapa.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©