Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Bi Salma katika sherehe za Maulid Pemba

22/03/2009

Mke wa rais wa Tanzania Bi Salma Kikwete akipozi na baadhi ya wanafunzi wa madrasa ya Konde huko pemba alikokwenda kusherehekea Maulid mwishoni mwa wiki.

Bi Salma Kikwete akimkabidhi moja ya baiskeli tano alizotoa kwa madrasa ya Alfanurania Maalim Abdallah Rashid Juma iliyopo Dodo Pujini, Chake Chake, Pemba. Bi Salma Kikwete alikuwa mgeni Rasmi katika Maulid ya Kusherehekea Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad(S.A.W.) iliyofanyika Konde, Pemba, wikiendi hii.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©