![]() |
|
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Usipitwe na kupiga kura 'European Election'23/03/2009
Alhamisi ya tarehe 04 June 2009, raia (citizens) wa nchi 27 za Umoja wa Ulaya (European Union) watapiga kura ya kuchagua bunge jipya litakalowakilisha umoja huo. Bunge hilo litachukua kiti cha ubunge kwa muda wa miaka mitano kuwakilisha Umoja wa Ulaya na raia wake wa nchi 27 wapatao 500,000,000 (milioni mia tano). Ukiwa ni raia wa United Kingdom au una makazi nchini United Kingdom, hakikisha siku hiyo isikupite kupigia kura chaguo lako la bunge utakalopendelea. Kura hii ni muhimu kwa UK kama ilivyo 'General Election'. Kwa maelezo zaidi ya upigaji kura nchini UK, bonyeza hapa.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||