Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Sherehe za ukombozi wa Comoro zaendelea

25/03/2009

Rais Ahmed Abdallah Mohamed Sambi wa Muungano wa Visiwa vya komoro akimtunuku JK medali ya ushujaa na heshima ya Taifa la Komoro kwa kutambua mchango wake katika kukikomboa kisiwa cha Anjouan. Rais Kikwete yupo nchini Komoro kwa mwaliko wa Rais Sambi kuadhimisha mwaka mmoja tangu majeshi ya umoja wa Afrika yakiongozwa na Tanzania yalipokikomboa kisiwa cha Anjouan.

JK na Mwenyeji wake Rais Ahmed Abdallah Sambi mara baada ya kumtunuku heshima ya juu ya taifa hilo kwa kuvika medali kwa kutambua mchango wake katika kukikomboa kisiwa cha Anjouan. Shrehe hizi zilifanyika Missiri Stadium, kisiwani Anjouan.

Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama ya Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange akivikwa medali ya kishujaa katika kutambua mchango wa majeshi ya Tanzania katika kukikomboa kisiwa cha Anjouan.

Kwa habari zaidi zilizopita kuhusu ukombozi huo bonyeza hapa.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©