Shein akutana na Makamanda
wa jeshi la Mozambique
26/03/2009

Makamu wa Rais, Dk. Ali Mohamed Shein (kulia
pichani) akiwa na jeshi la Mozambique ambalo limekuja kutembelea nchini
Tanzania kuhamasisha na kuongeza ushirikiano wa kijeshi katika nchi
mbili hizo.

Makamu wa Rais, Dk. Shein, aliwahikikishia
kuendelea kushirikiana kijeshi katika nchi hizo mbili, Tanzania na
Mozambique.
|