Chenge apandishwa
mahakamani
28/03/2009

Pichani ni Waziri wa zamani wa Miundo-mbinu na
Mwanasheria Mkuu, Mbunge wa Bariadi, Andrew Chenge ambaye amehusika
katika ajali iliyosababisha vifo vya wasichana wawili pichani chini
Vicky na Beatrice.

juu ni Mheshimiwa Chenge akiwa na Polisi eneo lilotokea
ajali hiyo usiku.

Marehemu Vicky.

Marehemu Beatrice.
|