Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Matembezi ya viwanja vya London Olympic

31/03/2009

Mamlaka inayoendesha maendeleo ya London Olympic 2012 imefungua milango kwa kujitolea kwa atakayependelea kutembelea ujenzi wa viwanja vitakavyofanyika Olimpik ya mwaka 2012 mjini London.

Matembezi hayo yanafanyika kwa kutumia usafiri wa basi bila ya malipo (free guided bus tours) kwa yeyote atayependelea kuona maendeleo yanayofanyika katika viwanja hivyo.

Basi hilo limeanza kazi ya matembezi hayo siku za Jumamosi, Jumapili na baadhi ya siku za kawaida jioni.

Unaweza kuweka nafasi yako ya matembezi hayo hata miezi mitatu kabla.

Kupata nafasi ya kwenda kutembelea viwanja hivyo piga simu namba 0300 2012 001 kati ya saa tatu asubuhi (9am) mpaka saa kumi na moja na nusu jioni (5.30pm), Jumatatu mpaka Ijumaa.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©