Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Meli yakwama bandarini

01/04/2009

Meli ya mizigo ya MSC Federica iliyokwama jana jioni katika eneo la Feri ya Kigamboni baada ya kutokea matatizo kwenye usukani na kushindwa kukata kona. Meli hiyo ilikuwa inatokea katika Bandari ya Dar kuelekea nchi za nje. Juhudi za kuikwamua zinaendelea ikiwa ni pamoja na kupunguza maji na mafuta kwenye meli ili kupunguza uzito.

Meli ya MSC Federica imekwama kwa siku ya pili baada ya kuingia pembezoni mwa pwani ya Kigamboni. Inasemekana kuwa bado kidogo tu kuvamia soko la kimataifa la Ferry lakini limekoswa kwa jitihada za nahodha wa meli hiyo.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©