Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Bili za ZAIN kwa njia ya ATM

05/04/2009

Meneja Mauzo na Uzalishaji wa Stanbic Bank, Lilian Kitomari (katikati) akiwaonyesha waandishi wa habari jinsi wateja wa Zain wanavyoweza kulipia bili zao za simu na kuongeza muda wa maongezi kupitia ATM za Stanbic wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Stanbic, Abdallah Singano na kulia ni Meneja Masoko wa Zain Tanzania, Costantine Magavilla.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©