Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Wakimbilia Mafuta, ajalini Morogoro

06/04/2009

Wakazi wa eneo la Misheni, nje kidogo ya mji wa Morogoro, wakigombea mafuta yaliyokuwa yakimwagika kutoka kwenye tenki lililoanguka mahali hapo wikiendi ilopita. Pamoja na kuwepo polisi wa usalama barabarani mmoja aliyekuwa akijitahidi kuwafukuza wakazi hao, wananchi walikuwa wabishi na kutoogopa lolote ambalo lingetokea la kuhatarisha usalama wao.

Baada ya  lori la mafuta  kuacha tela lake likijiendesha lenyewe baada ya kuchomoka na kuingia porini, al manusra ifinyange finyage hii gari aina ya Escudo ilioacha njia kwa kulikwepa lile tela lililokuwa limesheheni mafuta ya taa.

Baadhi ya wakazi wa eneo la Misheni wakiwahi kusitiri mafuta ya dezo baada ya kuitika mbiu ya ajali hiyo!

Escudo iliponea chupuchupu kusombwa na roli la mafuta lilolokuwa likienda adijojo.

End zis iz Jeki Cheni staili. Cha kuokota si cha kuiba...

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©