Watoto wa Nyerere na Amin
wakutana Butiama
10/04/2009

Jaffar
Iddi Amin Daddah (kati) akiomba dua kabla ya mlo huku Madaraka Nyerere (shoto)
na Vincent Nyerere wakiitikia wakati wa chakula cha mchana kijijini
Mwitongo, Butiama.

Vikundi
vya ngoma asilia za Kizanaki vikitumbuiza wakati wa ujio wa Jaffar Iddi
Amin Daddah, huko Mwitongo, Butiama.

Mtoto wa
tatu wa Idd Amini, Jaffer Iddi Amin Daddah 'Tshombe' akipokewa na
Madaraka Nyerere huko Mwitongo, Butiama. Pichani Amin akiingia nyumbani
kwa Mwalimu, pamoja na Madaraka Nyerere na Mdogo wake Vincent Kiboko
Nyerere, huko Mwitongo Butiama.

Chakula
cha nguvu cha Kizanaki uliandaliwa kwa wageni waliofika.
|