Kikwete afungua rasmi
Kiromo View Hotel, Bagamoyo
11/04/2009

JK
akikata utepe kuzindua rasmi hoteli ya Kiromo View iliyo nje kidogo ya
mji wa Bagamoyo.

JK
akitembezwa kuangalia hoteli ya Kiromo View baada ya kuizindua. Anayempa
maelezo ni Mkurugenzi Mtendaji wa hoteli hiyo, Bw. James Mujunamgoma.
Kushoto ni waziri utalii na maliasili Mh. Shamsa Selengia Mwangunga,
akifuatiwa na mkuu wa mkoa wa Pwani Dk Christine Ishengoma.
|