Ulinzi wa gari wa kuepusha
wezi
14/04/2009

Gari ambayo ilikuwa imekutwa imeegeshwa na
dereva asiyejulikana, imenaswa na mpiga picha mpita njia. Inasemekana
mwenye gari hiyo hutumia njia ya kuweka nyoka ndani ya gari yake kwa
kuzuia wezi wasikaribie gari yake kwa kuiba.
|