Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Kikwete atembelea SAUDI ARABIA

15/04/2009

Mfame Abdullah bin Abdulaziz wa Saudi Arabia akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Jakaya Mrisho Kikwete baada ya Dhifa ya kitaifa aliyomuandalia katika makazi yake ya kifalme huko Saudi Arabia (katikati yao ni Mkalimani).

Mfalme wa Saudi Arabia Abdullah bin Abdulaziz Al Saud akiwa katika picha ya pamoja na Rais Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kumtunuku nishani ya dhahabu ya kama ishara ya urafiki kati ya Tanzania na Saudi Arabia.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©