MWINYI azindua kituo cha
afya - Kibaha
16/04/2009

Makamu wa Rais Dk. Mohammed Shein na
Mwenyekiti wa Mradi wa ujenzi wa Jengo la kituo cha afya cha akina Mama
na Watoto, Al Hajj, Mheshimiwa, Mzee Ali Hassan Mwinyi wakifungua
kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi katika Hospitali ya Tumbi, Kibaha,
mkoa wa pwani.
|