Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Kikwete ziarani Saudi Arabia

17/04/2009

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akiwa katika mkutano na wakubwa wa Chemba ya Biashara na Viwanda wa Saudi Arabia.

JK katika ziara yake hiyo, alipata fursa ya kutembezwa sehemu mbalimbali katika ziara yake rasmi ya siku tatu huko Saudi Arabia.

Na huu ndio msafara wa JK alivyokuwa Saudi Arabia na huku bendera za Tanzania zikipepea kila kona.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©