Watuhumiwa wa kesi ya
uporaji wa kutumia silaha
22/04/2009

Watuhumiwa wa kesi ya uporaji wa kutumia
silaha, Anam Mkagelo (kulia), Kesi Sefu (kushoto), wakiwa wamembeba
mwenzao Omar Salum katika kuingia kwenye vyumba vya mahakama ya wilaya
ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Watuhumiwa hao walifanya uporaji huo
katika maeneo ya Mbagala, Dar es Salaam.
|