Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

London Bridge yafanyiwa machejo

25/04/2009

Bwana Robbie Maddison kutoka Australia (pichani) alichukua fursa ya kulifanyia machejo daraja la London Bridge au (Tower Bridge) kwa kuliruka kutoka kiungo kimoja mpaka kingine kwa kutumia pikipiki.

Pichani akionekana akiuacha upande aliotokea na kuanza kufanya machejo ya kupindua pikipiki hewani ikijulikana kama (backflip).

Pichani akionekana yupo katikati ya kiungo cha daraja la Tower Bridge, London, akishabahia upande wa pili wa daraja.

Pichani akionekana akiwa juu kwa juu kichwa chini miguu juu kwa machejo ya kuipindua pikipiki hewani.

Pichani akionekana yupo hewani akifanya umahiri wa kuachia mikono kwenye usukani.

Hapa akionekana akiwa karibu na kushuka upande wa pili wa daraja la Tower Bridge.

Hapa akionekana kishaipindua pikipiki yake karibu na kutua kwenye upande wa pili wa daraja.

Pichani bwana Robbie akionekana ameshatua upande wa pili wa daraja. Robbie ameshawahi kuruka viunzi na kuonyesha machejo mjini Las Vegas, USA, na anatarajiwa kuonyesha machejo hayo tena Battersea Power Station, UK, tarehe 22/08/2009.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©