Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Bei ya samaki Dar es Salaam

04/05/2009

Baadhi ya wananchi waliofika kwenye mnada wa samaki jijini Dar es Salaam jana. Wakiangalia bidhaa hiyo kabla ya mnada kuanza ambapo ulishindwa kuendelea kutokana na kutofautiana kwa bei za samaki hao; serikali ilitaka Sh. 7,000/- na wananchi walitaka iwe Sh. 1,500/- kwa kilo moja.

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©