Masalia ya mabomu
yalipuliwa
07/05/2009

Wakazi wa Mbagala wakishuhudia kazi za
wanajeshi wakiteketeza mabomu yaliyosalia baada ya mabomu mengine
kulipuka wiki iliyopita.

Wakazi wengine waliamua kuhama kwa muda
mfupi kwenda vitongoji vingine vya karibu kukwepa milipuko iliyobaki.
Mabomu yote yalilipuliwa kwa usalama kama ilivyotarajiwa.
|