Jacob Zuma rais wa Afrika
Kusini
09/05/2009

Rais mpya
wa Afrika ya Kusini, Bwana Jacob Zuma akila kiapo nchini humo katika
sherehe zilizohudhuriwa na marais mbalimbali wa Afrika akiwemo rais wa
Tanzania.

Mzee
Mandela naye alikuwepo

Pichani
ni wake wawili wa rais mpya wa Afrika ya Kusini, Bwana Jacob Zuma wakiwa
katika picha ya pamoja kwenye sherehe za kuapishwa kwa mume wao.
Kutoka
kushoto ni Nompumelelo Ntuli Zuma na kulia ni Thobeka Mabhija Zuma.
|