Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Bi Salma akagua shule ya Nyamisati

10/05/2009

Mwenyekiti wa taasisi ya wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akiongea na mwanafunzi Sharifa Hamidu wa kidato cha kwanza, Nyamisati Secondary School, mwenye umri wa miaka 14 huku mbunge Mh. Lucy Mayenga aliyefuatana na mama Kikwete katika kukagua maendeleo ya shule hiyo wilayani Rufiji mkoa wa Pwani akiangalia.

Jengo jipya la shule ya sekondari ya Nyamisati ambayo imejengwa na WAMA katika kata ya Salawe wilayani Rufiji.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©