Makamu wa rais wa Iran
atembelea Dar es Salaam
11/05/2009

Makamu
wa Rais Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Jamhuri ya Kiislamu ya Watu wa Iran Mhe. Parvis Davoodi wakipungia
mikono wananchi walipowasili kwenye viwanja vya Karimjee Dar es Salaam
leo. Makamu wa Rais wa Iran yupo Nchini kwa ziara ya siku mbili ya
kiserikali.
|