Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Makamo wa rais wa Iran atembelea Zanzibar

12/05/2009

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume, akisalimiana na Makamo wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Watu wa Iran, Parvis Davoodi, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume, akifuatana na mgeni wake Makamo wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Watu wa Iran, Parvis Davoodi, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar, akiwa katika ziara ya siku moja nchini.

Makamo wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Watu wa Iran, Parvis Davoodi, akikagua gwaride rasmi la jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar, akiwa katika ziara ya siku moja nchini.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©