Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Kikosi cha Tanzania - Darfur

13/05/2009

Kikosi cha wanajeshi wa Tanzania kinachotarajiwa kwenda nchini Sudan kutuliza na kulinda amani Darfur, kikijiandaa kisawasawa na vifaa vyote vinavyohitajika.

Wanajeshi 800 kutoka Tanzania watajiunga na vikosi vya Umoja wa Mataifa na Afrika katika kazi ya kutuliza na kulinda amani Darfur nchini Sudan.

Jumla ya wanajeshi 875 wanakwenda Darfur, 75 kati yao ni wahandisi. Hii ni mojawapo katika kusaidia jitihada za umoja wa mataifa wa kulinda amani huko Darfur nchini Sudan.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©