Matokeo ya milipuko ya
mabomu ya Mbagala - Dar es Salaam
16/05/2009

Baadhi ya
waathirika wa milipuko ya mabomu iliyotokea hivi karibuni Mbagala, Dar
es Salaam, wakipata msaada wa chakula kilichotolewa na Taasisi ya
Kiislamu. Zaidi ya kaya 500 zilifaidika na msaada huo wenye thamani ya
zaidi ya T.Shilingi milioni nne.
|