Daraja la umoja Tanzania -
Msumbiji
18/05/2009

Pichani
juu ni maendeleo ya utengenezaji wa daraja ambalo litatumika kama kivuko
au kiungo mojawapo kati ya nchi mbili (Tanzania na Msumbiji). Daraja
linajulikana kama daraja la umoja na ujenzi wake umefikia karibu na
kwisha kama inavoonekana pichani huko mpakani mwa Tanzania na Msumbiji.
|